Ingia katika Uislamu, bofya hapa
ISLAM AL-HAQ: QURAN & HADITH
(Uislamu Sahihi)

Q.S Al-A' la (اَلْأَعْلَىٰ) - 19 Idadi ya Mistari

(Aliye Juu Sana)

Qari

Murottal Audio

1

سَبِّحِ اسْمَ رَبِّكَ الْاَعْلَىۙ

sabbiḥisma rabbikal-a‘lā.

Litakase jina la Mola wako Mlezi aliye juu kabisa,


2

الَّذِيْ خَلَقَ فَسَوّٰىۖ

allażī khalaqa fasawwā.

Aliye umba, na akaweka sawa,


3

وَالَّذِيْ قَدَّرَ فَهَدٰىۖ

wal-lażī qaddara fahadā.

Na ambaye amekadiria na akaongoa,


4

وَالَّذِيْٓ اَخْرَجَ الْمَرْعٰىۖ

wal-lażī akhrajal-mar‘ā.

Na aliye otesha malisho,


5

فَجَعَلَهٗ غُثَاۤءً اَحْوٰىۖ

fa ja‘alahū guṡā'an aḥwā.

Kisha akayafanya kuwa makavu meusi.


6

سَنُقْرِئُكَ فَلَا تَنْسٰىٓ ۖ

sanuqri'uka falā tansā.

Tutakusomea (Qur'ani) hivyo usisahau,


7

اِلَّا مَا شَاۤءَ اللّٰهُ ۗاِنَّهٗ يَعْلَمُ الْجَهْرَ وَمَا يَخْفٰىۗ

illā mā syā'allāh(u), innahū ya‘lamul-jahra wa mā yakhfā.

Isipokuwa Mwenyezi Mungu atakavyo. Hakika Yeye anajua yaliyo dhaahiri na yaliyo fichikana.


8

وَنُيَسِّرُكَ لِلْيُسْرٰىۖ

wa nuyassiruka lil-yusrā.

Na tutakufanya iwe rahisi kwenda kwenye yaliyo rahisi (njia ya mema).


9

فَذَكِّرْ اِنْ نَّفَعَتِ الذِّكْرٰىۗ

fa żakkir in nafa‘atiż-żikrā.

Basi kumbusha, kama kukumbusha kunafaa.


10

سَيَذَّكَّرُ مَنْ يَّخْشٰىۙ

sayażżakkaru may yakhsyā.

Atakumbuka mwenye kuogopa (Mungu).


11

وَيَتَجَنَّبُهَا الْاَشْقَىۙ

wa yatajannabuhal-asyqā.

Na mwenye shari (kafir) atajiepusha nayo.


12

الَّذِيْ يَصْلَى النَّارَ الْكُبْرٰىۚ

allażī yaṣlan-nāral-kubrā.

Yeye ndiye atakayeingia moto mkubwa,


13

ثُمَّ لَا يَمُوْتُ فِيْهَا وَلَا يَحْيٰىۗ

Ṡumma lā yamūtu fīhā wa lā yaḥyā.

Kisha hatafiwa ndani yake wala hataishi.


14

قَدْ اَفْلَحَ مَنْ تَزَكّٰىۙ

qad aflaḥa man tazakkā.

Hakika amefanikiwa yeye aliyetakasika,


15

وَذَكَرَ اسْمَ رَبِّهٖ فَصَلّٰىۗ

wa żakarasma rabbihī fa ṣallā.

Na akakumbuka jina la Mola wake, kisha akaswali.


16

بَلْ تُؤْثِرُوْنَ الْحَيٰوةَ الدُّنْيَاۖ

bal tu'ṡirvnal-ḥayātad-dun-yā.

Bali nyinyi mnapendelea maisha ya dunia,


17

وَالْاٰخِرَةُ خَيْرٌ وَّاَبْقٰىۗ

wal-ākhiratu khairuw wa abqā.

Na maisha ya Akhera ni bora na ya kudumu zaidi.


18

اِنَّ هٰذَا لَفِى الصُّحُفِ الْاُوْلٰىۙ

inna hāżā lafiṣ-ṣuḥufil-ūlā.

Hakika hii (Qur'ani) iko katika sahifu za kwanza,


19

صُحُفِ اِبْرٰهِيْمَ وَمُوْسٰى ࣖ

Ṣuḥufi ibrāhīma wa mūsā.

Sahifu za Ibrahim na Musa.