Ingia katika Uislamu, bofya hapa
ISLAM AL-HAQ: QURAN & HADITH
(Uislamu Sahihi)

Q.S Al-Fatihah (اَلْفَاتِحَة) - 7 Idadi ya Mistari

(Ufunguzi)

Qari

Murottal Audio

1

بِسْمِ اللّٰهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيْمِ

bismillāhir-raḥmānir-raḥīm(i).

Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.


2

اَلْحَمْدُ لِلّٰهِ رَبِّ الْعٰلَمِيْنَۙ

al-ḥamdu lillāhi rabbil-‘ālamīn(a).

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola mlezi wa viumbe vyote.


3

الرَّحْمٰنِ الرَّحِيْمِۙ

ar-raḥmānir-raḥīm(i).

Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.


4

مٰلِكِ يَوْمِ الدِّيْنِۗ

māliki yaumid-dīn(i).

Mwenye kumiliki siku ya malipo.


5

اِيَّاكَ نَعْبُدُ وَاِيَّاكَ نَسْتَعِيْنُۗ

iyyāka na‘budu wa iyyāka nasta‘īn(u),

Wewe pekee ndio tunakuabudu, na Wewe pekee ndio tunaomba msaada.


6

اِهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيْمَۙ

ihdinaṣ-ṣirāṭal-mustaqīm(a).

Tuongoze kwenye njia iliyonyoka.


7

صِرَاطَ الَّذِيْنَ اَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ ەۙ غَيْرِ الْمَغْضُوْبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّاۤلِّيْنَ ࣖ

Ṣirāṭal-lażīna an‘amta ‘alaihim, gairil-magḍūbi ‘alaihim wa laḍ-ḍāllīn(a).

Njia ya wale uliowafadhili; si ya wale uliowakasirikia, wala si ya wale waliopotea.