Ingia katika Uislamu, bofya hapa
ISLAM AL-HAQ: QURAN & HADITH
(Uislamu Sahihi)

Q.S Al-Fil (اَلْفِيل) - 5 Idadi ya Mistari

(Tembo)

Qari

Murottal Audio

1

اَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِاَصْحٰبِ الْفِيْلِۗ

alam tara kaifa fa‘ala rabbuka bi'aṣḥābil-fīl(i).

Je, hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo wafanya wenye fil (vikosi vya tembo)?


2

اَلَمْ يَجْعَلْ كَيْدَهُمْ فِيْ تَضْلِيْلٍۙ

alam yaj‘al kaidahum fī taḍlīl(in).

Je, hakuifanya hila yao iwe bure (na kushindwa)?


3

وَّاَرْسَلَ عَلَيْهِمْ طَيْرًا اَبَابِيْلَۙ

wa arsala ‘alaihim ṭairan abābīl(a).

Na akawapelekea ndege katika makundi makundi,


4

تَرْمِيْهِمْ بِحِجَارَةٍ مِّنْ سِجِّيْلٍۙ

tarmīhim biḥijāratim min sijjīl(in).

Wanawarushia mawe ya udongo uliokaushwa na moto,


5

فَجَعَلَهُمْ كَعَصْفٍ مَّأْكُوْلٍ ࣖ

fa ja‘alahum ka‘aṣfim ma'kūl(in).

Basi akawafanya kuwa kama majani yaliyoliwa (na wadudu).