ISLAM AL-HAQ: QURAN & HADITH
(Uislamu Sahihi)



18

Q.S Al-Jinn (72:18)

وَّاَنَّ الْمَسٰجِدَ لِلّٰهِ فَلَا تَدْعُوْا مَعَ اللّٰهِ اَحَدًاۖ

wa annal-masājida lillāhi falā tad‘ū ma‘allāhi aḥadā(n).

'Na hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu basi wala msiabudu pamoja naye yeyote.'