95
Q.S Yona (10:95)
وَلَا تَكُوْنَنَّ مِنَ الَّذِيْنَ كَذَّبُوْا بِاٰيٰتِ اللّٰهِ فَتَكُوْنَ مِنَ الْخٰسِرِيْنَ
wa lā takūnanna minal-lażīna każżabū bi'āyātillāhi fa takūna minal-khāsirīn(a).
Wala usiwe miongoni mwa walio kadhibisha aya za Mwenyezi Mungu basi utakuwa miongoni mwa wenye khasara.