ISLAM AL-HAQ: QURAN & HADITH
(Uislamu Sahihi)



105
Q.S Yona (10:105)

وَاَنْ اَقِمْ وَجْهَكَ لِلدِّيْنِ حَنِيْفًاۚ وَلَا تَكُوْنَنَّ مِنَ الْمُشْرِكِيْنَ

wa an aqim wajhaka lid-dīni ḥanīfā(n), wa lā takūnanna minal-musyrikīn(a).

Na elekea uso wako katika dini iliyonyooka na usiwe miongoni mwa washirikina.